Jinsi Ya Kupata Mme

Jinsi Ya Kupata Mme

Por Emmanuel Satongima (Traductor), EMMANUEL SMITH

Formato: ePub  (Adobe DRM)
Disponibilidad: Descarga inmediata

Sinopsis

Baadhi ya wanawake, uhitaji wa mme inaweza kukamilisha mtindo wao wa maisha, wengine inaweza kuwa ni mkono wa msaada ndani na nje ya nyumba, na baadhi yao inaweza kuwa uhitaji wa kuanzisha familia, nakadhalika.Hiki kitabu sio kwaajili ya kuchambua sababu,kinatoa ushauri mfupi wa namna ya kuifanya ndoto ya kila mwanamke ya kuwa na ndoa inakamilika...kwa chini ya dakika 60 PUBLISHER: TEKTIME

EMMANUEL SMITH